Malakisi

Ramani ya mji wa Malakisi

Malakisi ni mji wa Kenya katika Kaunti ya Bungoma.

Mwaka 2010 ulikuwa na wakazi 4,319[1].

  1. Sensa ya Kenya 2009 Ilihifadhiwa 9 Januari 2019 kwenye Wayback Machine., tovuti ya KNBS, ilitazamwa Januari 2009.

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne