Malik Zulu Shabazz (amezaliwa mwaka wa 1968 kwa jina la Paris Lewis) ni mwanasheria nchini Marekani na kiongozi wa kundi la New Black Panther Party for Self Defence.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Malik Zulu Shabazz kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |