Malipo

Risiti ya malipo ya kielektroniki

Malipo ni pesa au kitu atoacho mtu kulipia kitu alichonunua au kazi au huduma aliyofanyiwa. Malipo pia yanaweza kuwa ya shukrani kwa mazuri aliyofanyiwa mtu


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne