Mama Said Knock You Out | |||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
![]() |
|||||||||||
Studio album ya LL Cool J | |||||||||||
Imetolewa | 27 Agosti 1990 | ||||||||||
Imerekodiwa | 1989-1990 | ||||||||||
Aina | Hip hop | ||||||||||
Urefu | 61:36 | ||||||||||
Lebo | Def Jam/Columbia/CBS Records CK 46888 |
||||||||||
Mtayarishaji | Marley Marl | ||||||||||
Tahakiki za kitaalamu | |||||||||||
|
|||||||||||
Wendo wa albamu za LL Cool J | |||||||||||
|
Mama Said Knock You Out ni jina la kutaja albamu ya nne ya msanii wa hip hop LL Cool J. Albamu ilitolewa mnamo mwaka wa 1990, baada ya kufanya vibaya sana katika albamu iliyopita ya Walking with a Panther mnamo mwaka wa 1989.