Maporomoko ya Niagara (Niagara Falls) ni mfululizo wa maporomoko ya maji kwenye mto Niagara yaliyopo mpakani mwa Kanada na Marekani kati ya Ziwa Erie na Ziwa Ontario. Ni maporomoko makubwa ya Amerika ya Kaskazini.
Wenyeji hutofautisha maporomoko matatu
Ni kitovu cha utalii katika Amerika ya Kaskazini kinachotembelewa na watalii wngi sana.
Kuna miji miwili inayoitwa Niagara Falls upande wa Kanada na mwingine upande wa Marekani.