Marimbula ni ala ya muziki toka Visiwa vya Karibi, hasa Kuba. Lakini ilifanya kutia na kalimba toka Afrika. Marimbula hufanana na kalimba kubwa. Marimbula inaundwa na ubao na mabamba membamba ya chuma, kwa hivyo ni ala ya mabamba (kwa Kiingereza: lamelophone).