Mary Frances Clarke

Mary Frances Clarke, B.V.M. (15 Desemba 18024 Desemba 1887) alikuwa mtawa wa Ireland ambaye alianzisha shirika la Kanisa Katoliki la Sisters of Charity of the Blessed Virgin Mary.[1]

  1. "Sr Mary Frances Clarke". Dubuque, Iowa: Find a Grave. Iliwekwa mnamo 3 Desemba 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne