Maryem Tollar

Maryem Tollar (alizaliwa Cairo, Misri 1968) ni mwimbaji anayeishi Toronto ambaye anaimba hasa nyimbo za Kiarabu.[1][2]

  1. Jazz Times – Volume 38 Page 184 2008 "Egyptian-Canadian singer Maryem Tollar's Enya-like chants help "Europa" maintain its dual optimistic and haunting qualities."
  2. Video for Mawal Saba

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne