Mashindano

Mashindano (kutoka kitenzi kushinda; kwa Kiingereza: competition) ni neno la Kiswahili lenye maana ya mapambano baina ya sehemu mbili au zaidi katika nyanja mbalimbali, kama vile michezo, elimu, fasihi, upishi n.k.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne