Massachusetts

Massachusetts
Jimbo
Kauli Mbiu
Ense petit placidam sub libertate quietem (Latin) Kwa upanga tunatafuta amani, lakini amani chini ya uhuru tu.(sw)
Wimbo wa taifa
"All Hail to Massachusetts"
Ramani ya
Ramani ya
Eneo la Massachusetts katika Marekani
Nchi Marekani
Mwaka wa Kujiunga February 6, 1788 (6th)
Jiji kubwa
(na mji mkuu)
Boston
Lugha Rasmi Kiingereza
Lugha Zinazozungumzwa Kiingereza 75.00%
Kihispania 9.55%

Kireno 3.43%

Kichina 2.05%
Utaifa Mmassachusetts
Serikali
Gavana Maura Healey (D)
Naibu Gavana Kim Driscoll (D)
Eneo
Jumla 27363 km²
Ardhi 20202 km²
Maji 7032 (25.70%)
Idadi ya Watu
Kadirio increase 7,136,171


Pato la Taifa (2024)
Jumla increase $776.7 billioni (ya 12)
Kwa kila mtu increase $110,567
Kiashiria cha
Maendeleo ya Watu
(2022)
0.956 (1)
Maendeleo ya Juu Sana
Mapato ya Kati
ya Kaya (2024)
99,900 (1)
Eneo la saa UTC−05:00 (Eastern)
Tovuti
🔗mass.gov


Picha za miji ndani ya jimbo la Massachusetts

Massachusetts ni jimbo (commonwealth) la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani. Mji mkuu na mji mkubwa wa jimbo ni Boston. Kwa miji mingine, angalia orodha ya miji. Idadi ya wakazi wa jimbo lote hufikia watu 6,497,967 (2007) wanaokalia eneo la 27,336 km² ambalo ni hasa milima na jangwa. Imepakana na Vermont, New Hampshire, Rhode Island, Connecticut, na New York. Upande wa mashariki maji ya Atlantiki.

Ilikuwa moja ya koloni 13 asilia za Uingereza zilizoasi dhidi ya nchi mama tangu mwaka 1776 na kuanzisha Maungano ya Madola ya Amerika.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne