Mazungumzo ni utaratibu wa kuongea baina ya pande mbili, ambapo kwa kawaida wahusika ni watu.
Lugha ya mazungumzo huwa na mtindo na rejista zake, tofauti na matumizi mengine ya lugha.
Developed by Nelliwinne