Back
Kubus
Afrikaans
Cubo
AN
مكعب
Arabic
مكعب
ARY
Hexaedru
AST
Kub
Azerbaijani
کۆب
AZB
Куб
Bashkir
Куб
Byelorussian
Куб
Bulgarian
Mchemraba
Mchemraba huwa na pande 6 zenye urefu na upana sawa
Mchemraba ukizunguka
Mchemraba
ni
gimba
lenye pande sita
mraba
. Ni aina ya pekee ya
mchestatili
.
Una
pembe
8 ambazo zote ni
pembemraba
na
urefu
,
upana
na
kimo
vyote ni sawa.
Una
kona
12 sawa na nne-nne kati ya hizi ziko
sambamba
From
Wikipedia
, the free encyclopedia · View on
Wikipedia
Developed by
Nelliwinne