Mchoro wa ukutani

Mchoro wa ukutani wa kale sana unaoonyesha pomboo kisiwani Krete, Ugiriki.
Mchoro wa darini huko abasia ya Melk, miaka ya 1600.
Ubatizo wa Kristo ulivyochorwa na Giotto huko Padua, Italia.

Mchoro wa ukutani (kwa Kiingereza "Fresco", kutoka neno la Kiitalia linalomaanisha "fresh") ni mchoro ambao unafanywa moja kwa moja ukutani, si unatundikwa juu yake.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne