Meza

Meza ni neno la kiswahili ambalo lina maana zaidi ya moja, Neno hili linaweza kumaanisha:

  • Meza (samani) ni kifaa ambacho kina miguu mitatu au minne ambayo inashikilia sehemu ya juu na hutenganishwa na sehemu ya kukalia.
  • meza (tendo) ni kitendo cha kupeleka au kuruhusu chakula kilichosagwa mdomoni kiingie tumboni.


Ukurasa huu una maelezo ya maana ili kutofautisha nia mbalimbali zinazolengwa na neno moja. Kwa usaidizi kuhusu makala za aina hii tazama Msaada:Maana

Maelezo katika ukurasa huu yawe mafupi, na kwa kila maana kuwe na kiungo kimoja tu ambacho kiunge ukurasa kuhusu nia yenye maana hii. Ukiwa umefika hapa kwa kutumia kiungo katika makala nyingine, tafadhali badalisha kiungo kile kiunge makala iliyokusudiwa moja kwa moja.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne