Mguu

Mchoro wa mguu wa binadamu.

Mguu ni sehemu ya mwili chini ya kiwiliwili.

Binadamu huwa na miguu miwili na anaitumia kwa kutembea amesimama wima. Wanyama wengi wana miguu minne na kuitumia yote pamoja kwa kutembea.

Mguu ni moja ya sehemu zenye umuhimu mkubwa katika jamii.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne