Mia

Dola 100 (Mia), fedha ya kimarekani iliyotolewa 1862

Mia (kutoka neno la Kiarabu) ni namba inayoandikwa 100 (moja sifuri sifuri) kwa tarakimu za kawaida , ila kwa namba za Kirumi tu (kutokana na neno la Kilatini centum, yaani mia moja).

Ni namba asilia inayofuata 99 na kutangulia 101.

Vigawo vyake vya namba tasa ni: 2 x 2 x 5 x 5.

Ni mraba wa 10, hivyo inaweza kuandikwa 102.

Namba 100 ni msingi wa asilimia, 100% ikiwa kiwango kilichokamilika.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne