Michael Joseph Boulette

Michael Joseph Boulette (alizaliwa 4 Juni 1950) ni askofu wa Kanisa Katoliki kutoka Marekani.

Tangu mwaka 2017, amehudumu kama askofu msaidizi wa Jimbo Kuu la San Antonio, Texas.[1][2][3]

  1. "Pope Names Msgr. Michael Boulette as Auxiliary Bishop of San Antonio". US Conference of Catholic Bishops. Iliwekwa mnamo Januari 23, 2017.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Msgr. Michael Boulette named new auxiliary bishop of San Antonio by Pope Francis". Archdiocese of San Antonio. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2024-06-12. Iliwekwa mnamo Januari 23, 2017.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Bishop Michael Joseph Boulette [Catholic-Hierarchy]".

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne