Michelle Dessler | |
---|---|
![]() Reiko Aylesworth as Michelle Dessler | |
Imechezwa na | Reiko Aylesworth |
Idadi ya sehemu | 62 |
Hali | Amefariki |
Msimu | 2, 3, 4, 5 |
Maelezo | |
Ndoa | Tony Almeida |
Michelle Dessler ni jina la kutaja uhusika wa kipindi cha televisheni cha Kimarekani maarufu kama 24. Uhusika ulichezwa na Reiko Aylesworth.
Alikuwa rafiki wa karibu na mwanamke pekee anayeaminiwa na Jack katika CTU na vilevile ni rafiki yake hata nje ya kazi. Alianza kuonekana kwa mara ya kwanza katika msimu wa pili wa 24 akiwa kama Meneja wa Uratibu wa Internet katika Tawi la CTU la Los Angeles na kisha baadaye akaja kuwa mwandani wa Tony Almeida.
Katika vipengele vya usoni, ameonekana kusaidia nafasi kama Mkubwa wa Kazi na Kaimu Kachero Maalum na Kiongozi ka CTU Los Angeles, na Ushirika wa Kachero Maalum Kandani.