Mfalme Micheon wa Goguryeo (? - 331, r. 300-331) alikuwa mtawala wa kumi na tano wa taifa la Goguryeo, huko mbali kabisa kuelekea maeneo ya kaskazini mwa Falme Tatu za Korea.
Developed by Nelliwinne