Milano | |
Mahali pa Milano katika Italia |
|
Majiranukta: 45°27′00″N 09°11′00″E / 45.45000°N 9.18333°E | |
Nchi | Italia |
---|---|
Mkoa | Lombardia |
Wilaya | Milano |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 1,308,975 |
Tovuti: http://www.comune.milano.it/ |
Milano (pia Milan) ni mji mkubwa wa Italia ya kaskazini mwenye wakazi milioni 1.3. Rundiko la mji lina wakazi milioni 7.5. Ni mji mkuu wa eneo la Lombardia na kitovu cha uchumi na utamaduni.