Milenia ya 1 KK

Milenia ya kwanza KK ilikuwa milenia ya mwisho kabla ya Kristo. Ilikuwa kipindi cha miaka elfu moja na ndani yake ni karne 10, kuanzia karne ya 10 KK hadi karne ya 1 KK. Ilifuatwa na karne ya 1 BK.

Ilianza kwenye 1 Januari 1000 KK ikaishia tarehe 31 Desemba 1 KK. Katika kalenda hii hakuna mwaka 0 KK wala mwaka 0.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne