Milima Ogo

Mandhari ya Almadow.

Milima Ogo (pia Galgodon) ni safu ya milima ya Somalia (Pembe ya Afrika).

Urefu wake unafikia hadi mita 2,450 juu ya usawa wa bahari.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne