Milima Tordrillo

MIlima ya Tordrillo

Milima Tordrillo ni safu ya milima ya Alaska (Marekani).

Urefu wake katika mlima Torbert unafikia hadi mita 3,479 juu ya usawa wa bahari.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne