Milima Apalachi inapatikana Marekani na Kanada kwa urefu wa kilomita 2,400.
Ilitokea miaka milioni 480 hivi iliyopita na tangu hapo kimo chake kimepungua hadi kuwa na kilele cha juu cha mita 2,037 tu.
Developed by Nelliwinne