Miss World

Miss World ni shindano la urembo la kimataifa, ambalo lilianzishwa nchini Uingereza na Eric Morley mwaka 1951. Shindano hilo ni la zamani kuliko mashindano mengine ya urembo ya kimataifa.

Baada ya kifo ya Eric mwaka wa 2000, Mjane wake, Julia Morley, ndiye kachukuwa nafasi ya mkurugenzi mtendaji wa mashindano hayo.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne