Mkoa wa Bounkani | |
![]() katika Cote d'Ivoire za Jimbo la Zanzan |
|
Nchi | ![]() |
---|---|
Jimbo | Zanzan |
Serikali[1] | |
- Prefect | Tuo Fozie, |
- Rais wa Baraza | Hien Philippe |
Eneo[2] | |
- Jumla | 22 091 km² |
Idadi ya wakazi (2014) | |
- Wakazi kwa ujumla | 267,167 |
GMT | (UTC+0) |
Mkoa wa Bounkani (kwa Kifaransa: Région du Bounkani) ni moja kati ya mikoa 31 ya nchini Cote d'Ivoire.
Uko katika Kaskazini mashariki ya nchi. Makao makuu ya eneo hilo ni Bouna. Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa watu 267,167.
Bounkani kwa sasa imegawanywa katika wilaya nne: