Mkoa wa Bururi

Mahali pa Mkoa wa Bururi katika Burundi kabla ya kumegwa mwaka 2015.

Mkoa wa Bururi ni mmoja kati ya mikoa ya Burundi. Jumla ya wakazi ilikuwa 493,000 mwaka 2007. Eneo lake la km² 2,465 lilimegwa mwaka 2015 kuunda mkoa mpya wa Rumonge.

Mji mkuu ni Bururi.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne