Mkoa wa Cankuzo ni moja kati ya mikoa ya Burundi. Jumla ya wakazi ilikuwa 202,000 mwaka 2007. Eneo lake ni la 1,965 km².
Mji mkuu ni Cankuzo.
Developed by Nelliwinne