Mkoa wa Fatick

Mahali pa Fatick nchini Senegal
Wilaya za Fatick

Mkoa wa Fatick ni mkoa mmojawapo nchini Senegal. Makao makuu yako mjini Fatick . Eneo la mkoa ni kilomita za mraba 6,849. Wakati wa sensa ya mwaka 2013 mkoa ulikuwa na wakazi 835,352.[1]

  1. Senegal: Administrative division, tovuti ya citypopulation.de, iliangaliwa Januari 2022

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne