Mkoa wa Greater Accra

Mkoa wa Greater Accra ni mmojawapo kati ya mikoa 16 ya Jamhuri ya Ghana.

Eneo lake ni la kilomita ya mraba 3,245.

Makao makuu ni Accra.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne