Mkoa wa Kabadougou | |
![]() katika Cote d'Ivoire |
|
Nchi | ![]() |
---|---|
Jimbo | Denguélé |
Serikali[1] | |
- Prefect | Amani Yao Michel |
- Rais wa Baraza | Kone Souleymane |
Eneo[2] | |
- Jumla | 14,000 km² |
Idadi ya wakazi (2014) | |
- Wakazi kwa ujumla | 193,364 |
GMT | (UTC+0) |
Mkoa wa Kabadougou (kwa Kifaransa: Région du Kabadougou) ni moja kati ya mikoa 31 ya nchini Cote d'Ivoire.
Uko katika Kaskazini magharibi ya nchi. Makao makuu ya eneo hilo ni Odienné. Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa watu 193,364.
Bafing kwa sasa imegawanywa katika Wilaya tano: