Mkoa wa Kati (Uganda)

Ramani.

Mkoa wa Kati (kwa Kiingereza: Central Region) ni kati ya mikoa minne ya Uganda na eneo lake ni sawa na Ufalme wa Buganda.

Kwa sasa unaundwa na wilaya 24[1].

Makao makuu yako Kampala.

Wakazi ni 9,529,227.

  1. "Uganda: Administrative Division". citypopulation.de. Iliwekwa mnamo 5 Novemba 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne