Mkoa wa Kati (Zambia)

Mahali pa mkoa wa Kati katika Zambia

Mkoa wa Kati (Central Province) ni moja ya mikoa 10 ya kujitawala ya Zambia lenye wakazi 1,012,257 kwenye eneo la 94,395 km². Mji mkuu ni Kabwe.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne