Mkoa wa Magharibi, Ghana

Mkoa wa Magharibi, Ghana ni mmojawapo kati ya mikoa 16 ya Jamhuri ya Ghana.

Eneo lake ni la kilomita za mraba 13,847.

Makao makuu ni Sekondi-Takoradi.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne