Mkoa wa Mashariki, Ghana

Mkoa wa Mashariki, Ghana ni mmojawapo kati ya mikoa 16 ya Jamhuri ya Ghana.

Eneo lake ni la kilomita ya mraba 19,323.

Makao makuu ni Koforidua.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne