Mkoa wa Omusati ni moja ya mikoa 13 ya kujitawala ya Namibia lenye wakazi 228,364 kwenye eneo la 13,638 km². Mji mkuu ni Outapi.
Developed by Nelliwinne