Mkoa wa Ruyigi ni moja kati ya mikoa ya Burundi. Jumla ya wakazi ilikuwa 370,000 mwaka 2007. Eneo lake ni la 2,339 km².
Mji mkuu ni Ruyigi.
Developed by Nelliwinne