![]() | |
---|---|
Maeneo ya Mkoa wa Samsun nchini Uturuki | |
![]() | |
Maelezo | |
Kanda: | Kanda ya Bahari Nyeusi |
Eneo: | 9,579 (km²) |
Idadi ya Wakazi | 1,187,536 TUIK 2007 (est) |
Kodi ya Leseni: | 55 |
Kodi ya eneo: | 0{{{kodi_ya_eneo}}} |
Tovuti ya Gavana | http://www.samsun.gov.tr |
Utabiri wa hali ya hewa | turkeyforecast.com/weather/samsun |
Samsun ni mkoa uliopo katika pwani ya Bahari Nyeusi huko nchini Uturuki. Idadi ya wakazi wanaoishi mkoani hapa ni 1,209,137 (2000). Mikoa inayopakana na mkoa huu ni pamoja na Sinop kwa upande wa kaskazini-magharibi, Çorum kwa upande wa magharibi, Amasya kwa upande wa kusini, Tokat kwa upande wa kusini-mashariki, na Ordu kwa upande wa mashariki. Mji mkuu wake ni Samsun.