Mkoa wa Sédhiou ni mkoa mmojawapo nchini Senegal. Makao makuu yako mjini Sédhiou . Eneo la mkoa ni kilomita za mraba 7,341. Wakati wa sensa ya mwaka 2013 mkoa ulikuwa na wakazi 452,944.[1]
Developed by Nelliwinne