Mahali pa mkoa nchini Tanzania.
Mkoa wa Simiyu ni kati ya mikoa 31 ya Tanzania, wenye postikodi namba 39000 [1]. Ulianzishwa rasmi Machi 2012 kwa kumega mkoa wa Shinyanga upande wa mashariki[2].
Makao makuu yako Bariadi.
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2018-08-05. Iliwekwa mnamo 2018-02-01.
- ↑ Staff (9 Machi 2012). "Tanzania: State Gazettes New Regions, Districts". Daily News. Dar es Salaam, Tanzania. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-08-23. Iliwekwa mnamo 2017-08-22.
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)