![]() | |
---|---|
Maeneo ya Mkoa wa Tokat nchini Uturuki | |
![]() | |
Maelezo | |
Kanda: | Kanda ya Bahari Nyeusi |
Eneo: | 9959 (km²) |
Idadi ya Wakazi | 869422 (makadirio 2006) TUIK 2007 (est) |
Kodi ya Leseni: | 60 |
Kodi ya eneo: | 0356 |
Tovuti ya Gavana | http://www.tokat.gov.tr |
Utabiri wa hali ya hewa | turkeyforecast.com/weather/tokat |
Tokat ni jina la mkoa uliopo mjini kaskazini mwa nchi ya Uturuki. Mkoa unapakana karibu kabisa na mikoa ya jirani kama vile Amasya kwa upande wa kaskazini-magharibi, Yozgat upande wa kusini-magharibi, Sivas kwa upande wa kusini-mashariki, na Ordu kwa upande wa kaskazini-mashariki. Mji mkuu wake ni Tokat, ambao umelalia katika kwenye eneo la Kanda ya Bahari Nyeusi, takriban kilomita 422 kutoka mjini Ankara.