Mkoa wa Tonkpi | |
![]() katika Cote d'Ivoire za Jimbo la Montagnes |
|
Nchi | ![]() |
---|---|
Jimbo | Montagnes |
Serikali[1] | |
- Prefect | Soro Kayaha Jerome |
- Rais wa Baraza | Woï Mela Gaston Aimé |
Eneo[2] | |
- Jumla | 12,284 km² |
Idadi ya wakazi (2014) | |
- Wakazi kwa ujumla | 992,564 |
GMT | (UTC+0) |
Mkoa wa Tonkpi (kwa Kifaransa: Région du Tonkpi) ni moja kati ya mikoa 31 ya nchini Cote d'Ivoire.
Uko katika Magharibi ya nchi. Makao makuu ya eneo hilo ni Man. Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa watu 992,564.
Tonkpi kwa sasa imegawanywa katika Wilaya tano: