Mkulima ni mtu anayejihusisha na sekta za kilimo na ufugaji na pengine uvuvi.
Katika kilimo mkulima hufanya kazi ya kukuza mimea, kuipalilia mpaka wakati wa mavuno.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkulima kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |