Mkundu ni sehemu ya mwili wa binadamu ambapo mavi hutoka utumbo.
Katika maumbile ya mwili ni mwisho wa mfumo wa mmeng'enyo wa chakula.
Makala hii kuhusu mambo ya anatomia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkundu kama matumizi yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |