Mlima Sefton

Mlima Sefton

Mlima Sefton ni mlima wa New Zealand wenye kimo cha mita 3,151 juu ya usawa wa bahari.

Kama milima yote 30 mirefu zaidi ya nchi hiyo, uko katika kisiwa cha kusini.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne