Molise

Bendera ya Molise.
Bendera ya Molise.
Mahali pa Molise katika Italia.

Molise ni mkoa wa Italia, upande wa kusini-mashariki.

Mji mkuu wake ni Campobasso.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne