Monte Catria

Mlima wa Monte Catria

Monte Catria ni mlima wa Apenini katika nchi ya Italia (Ulaya Kusini).

Urefu wake ni mita 1,701 juu ya usawa wa bahari.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne