Montréal | |||
| |||
Mahali pa mji wa Montral katika Kanada |
|||
Majiranukta: 45°30′00″N 73°40′00″W / 45.50000°N 73.66667°W | |||
Nchi | Kanada | ||
---|---|---|---|
Mkoa | Quebec | ||
Wilaya | Montreal | ||
Idadi ya wakazi | |||
- Wakazi kwa ujumla | 1,620,693 | ||
Tovuti: http://ville.montreal.qc.ca/ |
Montreal (inaandikwa Montréal kwa Kifaransa) ni mji katika nchi ya Kanada. Ni mji mkubwa wa mkoa wa Quebec na pia wa pili kwa ukubwa katika Kanada nzima. Kuna wakazi zaidi ya milioni nne wanaoishi katika rundiko la mji huo.