Moody Awori

Arthur Moody Awori

Arthur Moody Awori (anajulikana kama "Uncle Moody", alizaliwa Butere.[1][2], 5 Desemba 1927) alikuwa Makamu wa Rais wa 9 wa Kenya kutoka tarehe 25 Septemba 2003 [1] hadi 9 Januari 2008[3].

  1. 1.0 1.1 Ukurasa wa Awori katika tovuti ya Makamu wa Rais Ilihifadhiwa 27 Septemba 2007 kwenye Wayback Machine.
  2. Wasifu wa serikali ya Kenya. Ilihifadhiwa 28 Julai 2005 kwenye Wayback Machine.
  3. Mutinda Mwanzia, "Kenya: Awori ampa Kalonzo kazi yake", The East African Standard (allAfrica.com), 10 Januari 2008.

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne