Moyale | |
Mahali pa mji wa Moyale katika Kenya |
|
Majiranukta: 3°32′0″N 39°3′0″E / 3.53333°N 39.05000°E | |
Nchi | Ethiopia, Kenya |
---|---|
Kaunti | Marsabit |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 37,387 |
Moyale ni mji wa mpakani: sehemu kubwa iko upande wa Ethiopia, na ile ndogo upande wa Kenya katika kaunti ya Marsabit.
Wakazi upande wa Kenya walikuwa 37,378 wakati wa sensa ya mwaka 2009[1].